Chakee public
[search 0]
Download the App!
show episodes
 
Artwork

1
Wimbi la Siasa

RFI Kiswahili

icon
Unsubscribe
icon
Unsubscribe
Weekly
 
Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji. Kila wakati usikose kusikiliza Makala ya Wimbi la Siasa
  continue reading
 
Loading …
show series
 
Rais wa zamani wa DRC, Joseph Kabila, Aprili 18, aliripotiwa kurejea nchini na kufikia jijini Goma, linalodhibitiwa na waasi wa M 23. Hata hivyo, taarifa hizi hazijathibitishwa rasmi. Serikali jijini Kinshasa, nayo imesitisha shughuli zote za kisiasa za chama chake cha PPRD. Kabila anashtumiwa na serikali kwa kuunga vitendo vya waasi hao.…
  continue reading
 
Wanasiasa wakuu wa upinzani nchini Kenya, wakiongozwa na aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua, Aprili 29 2025, walikutana jijini Nairobi kuanza mikakati ya kuunda muungano mpya, kwa maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Je, muungano huu ambao pia umemjumuisha aliyekuwa Waziri wa usalama Fred Matiang’i, unaweza kumtikisa rais William Ruto waka…
  continue reading
 
Mwezi Oktoba 2025, wananchi wa Tanzania, watashiriki kwenye uchaguzi Mkuu, kuwachagua madiwani, wabunge na rais. Hata hivyo, chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA, kikiongozwa na Mwenyekiti wake, Tundu Lissu, kinashinikiza mageuzi kwenye sheria za uchaguzi kabla ya kufanyika kwa uchaguzi huo. Je, kitafanikiwa katika harakati zake ?…
  continue reading
 
Mkuu wa Majeshi nchini Kenya, Jenerali Jenerali Charles Kahariri na Mkuu wa idara ya ujasusi Noordin Haji, wameonya dhidi ya kampeni inayoendelea kwenye mitandao ya kijamii na mikutano ya hadhara ya –Ruto Must Go- au Ruto lazima aondoke, inatishia hali ya kisiasa nchini Kenya na ni lazima, ikome. Je, jeshi la Kenya linaingilia siasa ? Tunajadili……
  continue reading
 
Wiki hii tunaangazia kinachojiri nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, baada ya Angola kujiondoa kama mpatanishi wa mazugumzo ya mzozo wa Mashariki mwa nchi hiyo, rais Paul Kagame na Tshisekedi wakutana Doha na mazungumzo ya kisiasa yanayolenga kuunda serikali ya umoja wa kitaifa, yazinduliwa jijini Kinshasa. Wachambuzi wetu ni Mali Ali, akiwa P…
  continue reading
 
Sudan Kusini inakabiliwa na wasiwasi wa kujipata tena kwenye vita vipya, kufuatia mzozo wa hivi punde kati ya vikosi vya rais Salva Kiir na Makamu wake wa kwanza wa Riek Machar, baada ya kushambuliana kwenye jimbo la Upper Nile. Nini kinaweza kufanyika kuzuia mzozo mpya ? Wachambuzi wetu ni Dokta Brian Wanyama, kutoka Kenya na Hamdum Marcel akiwa M…
  continue reading
 
Wakati huu serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, inapoendelea kukabiliwa na changamoto ya usalama Mashariki mwa nchi hiyo, baada ya waasi wa M23 kuingia katika miji ya Bukavu na Goma, rais Felix Tshisekedi ametangaza mpango wa kuunda serikali ya umoja wa kitaifa kwa kuwashirikisha wanasiasa wa upinzani. Tunajadili iwapo hatua hii itasaidia …
  continue reading
 
Waziri wa Mambo ya nje wa Djibouti Mahmoud Ali Youssouf alichaguliwa na wakuu wa mataifa ya Afrika Februari 15 2025, kuwa Mwenyekiti mpya wa Tume ya Umoja wa Afrika na kumshinda mwanasiasa mkongwe na aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga. Tunachambua ushindi wake na kazi kubwa inayomsubiriBy RFI Kiswahili
  continue reading
 
Makala ya Wimbi la Siasa wiki hii tunaangazia maazimio ya wakuu wa serikali na nchi kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki na SADC waliokutana Februari jijini Dar es Salaam, kuthathmini hali ya usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Miongoni mwa maazimio hayo ni usitishwaji wa vita bila masharti kati ya waasi wa M23 na wanajeshi wa DRC…
  continue reading
 
Rais wa Marekani Donald Trump, baada ya kurejea madarakani Januari 20, ametangaza hatua ya serikali yake, kusitisha misaada hasa ya kifedha kwa nchi za kigeni, kupitia Shirika la Misaada ya Kimataifa (USAID). Hatua hii inamaanisha nini hasa kwa mataifa ya Afrika ? Tunajadili hili kwa akina na Suba Churchil, rais wa kituo cha taifa cha mashirika ya …
  continue reading
 
Tunaangazia kuendelea kwa vita Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kati ya jeshi la serikali FARDC wanaoshirikiana na wapiganaji wa Wazalendo dhidi ya waasi wa M 23 wanaoungwa mkono na Rwanda. Watu zaidi ya 100, 000 wameyakimbia makaazi yao katika wilaya ya Masisi tangu kuanza kwa mwaka 2025 kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa. Nini suluhu y…
  continue reading
 
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA, kitawachagua vongozi wa ngazi ya juu wa chama hicho, Januari tarehe 21. Kibarua kigumu kipo kwenye ushindani wa nafasi ya Mwenyekiti. Freeman Mbowe ambaye amekuwa akiongoza chama hicho kwa zaidi ya miaka 20 na Makamu wake Tundu Lissu, ni miongoni mwa watia nia waliojitosa kupambania nafasi hiyo. Waw…
  continue reading
 
Heri ya mwaka mpya wa mwaka 2025. Nchi ya Msumbiji bado ipo kwenye mvutano mkali wa kisiasa, baada ya uchaguzi wa mwezi Oktoba mwaka 2024. Hali imeendelea kuwa mbaya baada ya Baraza la Katiba, kuthibitisha ushindi wa Daniel Chapo kutoka chama tawala FRELIMO, kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais huku kiongozi wa upinzani Venancio Mondlane, akiendelea k…
  continue reading
 
Makala ya wimbi imeangazia hatua ya rais wa Kenya, William Ruto, kuwajumuisha katika serikali yake mawaziri kadhaa waliohudumu wakati wa utawala wa mtangulizi wake Uhuru Kenyatta, na vile vile wandani wake kinara wa upinzani Raila Odinga., na hii ni licha ya yeye kuapa kutohusisha wapinzani kwenye Serikali yake; Ruben Lukumbuka anazungumza na Edwin…
  continue reading
 
Nini mustakabali wa eneo la mashariki ya DRC baada ya mkutano wa Luanda ambao uliitishwa na rais wa Angola kushindikana? Tarehe 15/12/2024 Rais Joao Laurenco wa Angola alikuwa amepanga kuwakutanisha marais wa DRC Félix Tshisekedi, na mwenzake wa Rwanda Paul Kagame, mkutano ambao haukufanyika kwa sababu rais wa Rwanda hakuridhia kushiriki. Ruben Luk…
  continue reading
 
Siku 16 za uanaharakati dhidi ya ukatili wa kijinsia ni kampeni inayofanyika kila mwaka kati ya Novemba 25 hadi Desemba 10. Ni kampeni ya siku 16 inayolenga kuhamasisha umma jinsi ya kukomesha ukatili dhidi ya wanawake na wasichana. Siku hiyo ilianza kuadhimishwa rasmi mwaka 1991,siku hii inaongozwa na Kituo cha kimataifa cha Wanawake tarehe 10 ili…
  continue reading
 
Wakaazi wa jimbo la Somaliland, mojawapo wa êneo lililojitenga na Somalia zaidi ya miaka 30 iliyopita, tangu mwaka 2003 wamekuwa wakishiriki kwenye uchaguzi wa kumchagua rais na wabunge wao. Fursa hiyo pia imekuja Novemba tarehe 13 mwaka 2024 ambapo wapiga kura Milioni 1 waliondikishwa na Tume ya Uchaguzi ya Somaliland wanamchagua rais atakayewatum…
  continue reading
 
Connecting the dots of your life events is not something you do in the present. It is something that you can only see in retrospect. And as you start to connect the events you can see how everything you go thru helps to steer you in the direction that you need to go. Stop judging independent life events and just live! Without struggle there is no p…
  continue reading
 
Loading …

Quick Reference Guide

Listen to this show while you explore
Play