Global perspective Human stories
…
continue reading
UN News interviews a wide range of people from senior news-making officials at Headquarters in New York, to advocates and beneficiaries from across the world who have a stake in helping the UN go about its often life-saving work in the field.
…
continue reading
Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
…
continue reading
This flagship podcast series from UN News takes its name from the words that correspondents at UN Headquarters in New York hear each night, at the end of the working day. We highlight the in-depth human stories behind the UN’s work and the way that it touches and impacts ordinary lives around the world. During UN High-Level week UN News is releasing a daily podcast mini-series, designed to make sense of what’s going on at our New York HQ. Each episode of Focus on the Future will have a main ...
…
continue reading
There’s no denying it - we have to tackle the climate emergency. Burning fossil fuels to get energy has to end. It's doable but it's going to take solutions in every industry, at every scale, in every nation in the world. No Denying It, the UN climate action podcast, brings you the voices of young climate changemakers from across our warming planet. These activists, engineers, and entrepreneurs show us how ...
…
continue reading
Gaza: UN agencies insist Israeli aid plan leaves most vulnerable at riskDeepening hunger alert for West and Central Africa: WFPCosta Rica’s refugee lifeline at breaking point amid funding crisis: UNHCRBy Daniel Johnson, UN News
…
continue reading

1
Chokoleti itengenezwayo Uganda yavuka mpaka na mabara -UNCTAD
3:55
3:55
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
3:55Kutoka kakao ghafi huko Bundibugyo, magharibi mwa Uganda hadi Kampala mji mkuu wa kibiashara wa taifa hilo la Afrika Mashariki ndiko kunapatikana kiwanda cha kutengeneza chokoleti cha Equator kinachomilikiwa na Barbara Gonget na mume wake Gustav. Awali wazo la biashara hii lilionekana kutokuwa na mashiko. Ingawa hivyo baada ya ITC, ambacho ni Kituo…
…
continue reading

1
Mashirika ya UN yakemea mpango wa Israel kutumia misaada kama mtego - Gaza
1:44
1:44
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
1:44Mpango wa Israel wa kuchukua udhibiti wa misaada ya dharura huko Gaza utaweka maisha ya raia hatarini na kusababisha ufurushwaji Mkubwa wa watu huku ikitumia misaada kama mtego, walisema leo wahudumu wa kibinadamu wa Umoja wa Mataifa. Anold Kayanda anafafanua zaidiBy Anold Kayanda
…
continue reading
Katika Jarida la Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea-Gaza: Mashirika ya Umoja wa Mataifa leo yakemea mpango wa Israel kutumia misaada kama mtego-Mradi wa HOTIGRO wa shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo UNDP nchini Tanzania wainua wakulima wa mboga na matunda -Makala leo inatupeleka Uganda kumulika kiwanda cha kutengeneza …
…
continue reading

1
Healing in exile: One refugee’s mission to boost mental health
7:57
7:57
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
7:57There are now more than 122 million people worldwide, forcibly displaced from their homes. While trauma, depression and anxiety are prevalent says the UN World Health Organization (WHO), many refugees and migrants struggle to access mental health services. Jîn Dawod is an entrepreneur from Syria who fled to Türkiye to escape the brutal war. Sufferi…
…
continue reading
Port Sudan: No let-up in drone attacks as UN chief urges peaceGazans suffer while supplies remain blocked outside the enclave: OCHACondemnation as Israeli troops force closure of occupied West Bank schoolsBy Daniel Johnson, UN News
…
continue reading

1
Kutimiza azimio la watu wa jamii za asili ni jukumu la mataifa yote duniani - Adam Ole Mwarabu
6:48
6:48
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
6:48Jukwaa la Umoja wa Mataifa kuhusu watu wa jamii za asili limekunja jamvi mwishoni mwa wiki iliyopita hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa na kandoni mwa jukwaa hilo Flora Nducha wa Idhaa hii ya Kiswahili alipata fursa ya kuzungumza na mmoja wa washiriki kiongozi wa kijamii kutoka Jamii ya wafugaji ya Wamaasai mkoani Morogoro Mashariki mwa Tanzania …
…
continue reading
Katika kujifunza lugha ya Kiswahili leo Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar nchini Tanzania, BAKIZA anafafanua maana ya neno "DALALI”By Dkt. Mwanahija Ali Juma
…
continue reading
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa ambayo Flora Nducha wa Idhaa hii ya Kiswahili alipata fursa ya kuzungumza na kiongozi wa kijamii kutoka Jamii ya wafugaji ya Wamaasai mkoani Morogoro nchini Mashariki mwa Tanzania Adam Kulet Ole Mwarabu.Wiki kumi baada ya kuanza kwa mzingiro kamili wa Israel dhidi ya wakazi wa Gaza, zaidi ya robo tatu ya kaya k…
…
continue reading
Gaza: Another school is hit in devastated enclaveOngoing Russian attacks in Ukraine hit civilians hardest, warns top UN aid officialVital food aid reaches DR Congo city of Beni for thousands of displacedBy Daniel Johnson, UN News
…
continue reading

1
Operesheni za kijeshi Jammu na Kashmir hazina tija – Guterres
2:07
2:07
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
2:07Huko barani Asia majirani wawili India na Pakistani wameendelea kuoneshana mvutano kati yao kwenye eneo la Jammu na Kashmiri tangu tarehe 22 mwezi uliopita wa Aprili baada ya shambulizi huko Pahalgam. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ametoa wito kama anavyoelezea Assumpta Massoi.By Assumpta Massoi
…
continue reading
Hii leo jaridani tunaangazia mvutano unaoendelea barani Asia kati ya majirani wawili India na Pakistani, na msaada wa mguu bandia uliowezesha mtototo nchini Kenya kwenda shule. Makala tunakupeleka nchini Tanzania na mashinani tunakwenda katika ukanda wa Gaza.Huko barani Asia majirani wawili India na Pakistani wameendelea kuoneshana mvutano kati yao…
…
continue reading

1
Wazazi pelekeni watoto wenu kupata chanjo dhidi ya maradhi - Bi. Halfani
3:36
3:36
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
3:36Katika Wiki ya Chanjo duniani, iliyotamatishwa tarehe 30 wiki iliyopita, mtaa wa Butiama, ulioko Mtoni Kijichi katika wilaya ya Temeke, jijini Dar es Salaam, nchini Tanzania ulishuhudia wazazi na walezi wakijitokeza kuwapatia watoto wao chanjo muhimu za kuwalinda dhidi ya maradhi hatari. Miongoni mwao ni Hija Halfani ambaye alimpeleka mtoto wake mw…
…
continue reading

1
Evelyn Atieno: Asante UNICEF kwa kubadili Maisha ya mwanangu Fidel
2:32
2:32
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
2:32Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF kwa kushirikiana na wadau wameleta neema kwa watoto wanaoishi na ulemavu katika Kaunti ya Kisumu Magharibi mwa Kenya baada ya kuwapa msaada wa vifaa ikiwemo viti mwendo na viungo bandia kupitia mradi wa ubunifu kwa ajili ya watoto wenye ulemavu, msaada uliobadili maisha yao. Flora Nducha amefua…
…
continue reading
The digital revolution has created unprecedented opportunities for children and young people across the globe to communicate, learn, and socialise. However, browsing the internet as artificial intelligence gathers pace, also presents dangers – from sexual abuse to cyberbullying – highlighting the need for smarter and more effective regulation to ke…
…
continue reading

1
Independent investigators take on ‘titanic’ mission to find Syria’s missing
9:25
9:25
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
9:25Tens of thousands of people went missing under the Assad dictatorship in Syria during more than five decades of systematic repression and forced disappearances. In response, the UN General Assembly established the Independent Institution on Missing Persons in the Syrian Arab Republic (IIMP) in 2023 to help account for them all. The investigative bo…
…
continue reading
Gaza: Humanitarians reject Israeli proposal to take over aid deliveryExhausted Sudanese women, children flee into Chad ‘with nothing’ as fighting escalatesSouth Sudan: Hospital bombing in South Sudan may be war crime, UN warnsBy Daniel Johnson, UN News
…
continue reading
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayoturejesha hapa makao makuu ambako Idhaa hii Dokta Willis Ochieng kutoka Kenya aliyehudhuria ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na masuala ya kilimo na maendeleo. Pia tunakuletea muhtasari wa habari, na mashinani tunakwenda Ghana.Ukuaji wa maendeleo ya binadam…
…
continue reading

1
VoTAN sio tu mtandao wa kidijitali kusaidia manusura wa ugaidi bali pia ni familia - Manusura
5:02
5:02
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
5:02Hatimaye kilio cha manusura wa ugaidi duniani cha kuwa na Mtandao wa Mashirika yao ili kuweza kupaza zaidi sauti zao kwa ajili ya sio tu kusaidiwa bali pia kuepusha matukio kama hayo, kimepata jawabu baada ya Mtandao huo au VoTAN kuzinduliwa kwenye Umoja wa Mataifa. Kwa msaada wa kifedha kutoka Hispania, Iraq na nchi nyingine wanachama, mtandao huu…
…
continue reading

1
MONUSCO yapatia wanawake wakimbizi DRC mafunzo ya ushoni
2:31
2:31
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
2:31Wanawake 125 katika kambi ya wakimbizi wa ndani ya Kigonze, karibu na Bunia, mji mkuu wa jimbo la Ituri, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ambako ghasia huripokiwa mara kwa mara, sasa wana matumaini mapya ya kujikwamua kiuchumi baada ya kujiunga na mradi wa mafunzo ya kushona nguo unaofadhiliwa na Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa Ku…
…
continue reading
Hii leo jaridani tunaangazia Siku ya kimataifa ya wakunga na kazi zao muhumi, na mafunzo ya jerahani kwa wakimbizi wa ndani nchini DRC. Makala tunasalia hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa na mashinani tunakwenda Gaza.Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya wakunga, tunakwenda nchini Tanzania kummulika mkunga ambaye alinusuru maisha ya wajawazito wawili…
…
continue reading

1
Mkunga nchini Tanzania atoa wito wa uwekezaji kwenye fani hiyo
2:07
2:07
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
2:07Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya wakunga, tunakwenda nchini Tanzania kummulika mkunga ambaye alinusuru maisha ya wajawazito wawili wakati wa mafuriko makubwa ya Novemba 2023 wilayani Hanang, mkoani Manyara, kaskazini mwa taifa hilo la Afrika Mashariki, ikiwa ni ushuhuda wa majukumu mazito yanayokumba wakunga. Anold Kayanda na maelezo zaidi.…
…
continue reading
Israeli aid blockade on Gaza has caused stillbirths and more: UNFPAAid teams condemn deadly hospital bombing in South SudanMyanmar: early monsoon rains add to survivors’ misery: OCHABy Daniel Johnson, UN News
…
continue reading

1
Ukraine: Immunisation challenges continue amid conflict, WHO says
13:24
13:24
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
13:24Following the COVID-19 pandemic – which disrupted immunisation efforts around the world – data from the World Health Organization (WHO) shows Ukraine made remarkable progress restoring its inoculation programmes. However, the full-scale Russian invasion of February 2022 has wreaked havoc with the country’s health infrastructure, displaced millions,…
…
continue reading
Aid blockade of Gaza threatens mass starvationSyria: Independent UN rights investigators’ accountability call, amid sectarian violence“Unbearable suffering” in Myanmar in quake aftermath must not be forgotten: human rights chiefBy Matt Wells, UN News
…
continue reading

1
Bila mafunzo watu tutakuwa watumiaji tu wa AI na sio wanaufaika: Hassan Mhelela
5:12
5:12
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
5:12Katika kuelekea siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani itakayoadhimishwa Jumamosi Mei 3 ambayo mwaka huu imebeba maudhui yanayoangazia athari za Akili Mnemba au AI katika uhuru wa habari na vyombo vya habari tunazungumza na mmoja wa wanahabari wa siku nyingi ili kufahamu AI inavyoleta mabadiliko katika tasnia ya habari na vyombo vya habari husu…
…
continue reading

1
Akili mnemba au AI ni sawa na upanga wenye makali pande mbili - Guterres
1:50
1:50
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
1:50Kuelekea siku ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari Mei 3, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amesema waandishi wa habari wanakabiliwa na hatari kila uchao huku teknolojia mpya ya akili mnemba au AI ingawa licha ya manufaa nayo pia inaibua hatari mpya kwenye uhuru wa kujieleza. Assumpta Massoi na taarifa zaidi.…
…
continue reading
Hii leo jaridani tunaangazia Siku ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari Mei 3 tukikuletea ujumbe wa Umoja wa Mataifa kuhusu umuhimu wake. Pia tunamulika hali ya msaada wa kibinadamu nchini Sudan.Kuelekea siku ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari Mei 3, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amesema waandishi wa habari wanakabil…
…
continue reading

1
WFP yaongeza usambazaji wa chakula nchini Sudan japo hali bado tete
1:50
1:50
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
1:50Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani, (WFP) tayari limeanza usambazaji wa chakula katika maeneo mbalimbali ya Sudan ambako watu wanakabiliwa na jaa huku wengine wakilazimika kuhama kambi moja hadi nyingine. Anold Kayanda na taarifa zaidi.By Anold Kayanda
…
continue reading

1
‘If you want to make your country great again, don’t retreat from the world’: UN relief chief
14:48
14:48
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
14:48UN Humanitarian Affairs chief Tom Fletcher has been forced to make “brutal cuts” to his organization, as major donors in the rich world slash their aid and international development spending. UN News’s Conor Lennon spoke to him on Thursday via video-link from the UN offices in the Afghan capital Kabul, at the end of a three week visit to some of th…
…
continue reading
UN Humanitarian Coordinator denounces impact of sweeping aid cutsIsrael urged to allow lifesaving aid into GazaUN rights chief fears more bloodshed in El Fasher, SudanBy Dianne Penn, UN News
…
continue reading

1
Maoni kutoka washiriki kutoka maeneo mbalimbali waliohudhuria mkutano wa jamii za asili UNPFII
3:24
3:24
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
3:24Hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, mkutano wa 24 wa Jukwaa la Kudumu la Watu wa jamii za asili (UNPFII) linaendelea kujadili utekelezaji wa Azimio la Umoja wa Mataifa kuhusu haki za watu wa asili na kubaini mbinu bora za kushughulikia changamoto zinazowakabili, ukileta pamoja washiriki kutoka maeneo mbalimbali kote duniani. Idhaa ya Kiswahili ya…
…
continue reading
Impact of funding cuts is that millions will die, warns UN aid chiefSudan violence continues to displace thousands who need everything: OCHAHaiti: UNICEF deploys mobile health clinics amid spiralling gangBy Daniel Johnson, UN News
…
continue reading

1
UNESCO: Jazz ni daraja la kudumisha amani, uhuru na mshikamano
4:05
4:05
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
4:05Leo tarehe 30 Aprili dunia nzima inaburudika kwa pamoja kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Jazz, Kuanzia New Orleans hadi Nairobi, Tokyo hadi Tunis, miji inawasha taa majukwaani na mioyoni kusherehekea midundo yenye ladha ya kale, ya kisasa na yenye mvuto wa kipekee. Shirika la Umoja wa Mataifa la elimu , sayansi na utamaduni UNESCO linasema Jazz ni …
…
continue reading

1
Ripoti kuhusu Mpox yazitaja nchi 11 za Afrika, Ulaya, China na Amerika nao wamo
2:03
2:03
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
2:03Maambukizi ya ugonjwa wa mpox kutokana na aina ya virusi vya monkeypox clade Ib /ˈmʌŋ.ki.pɑks kleɪd one bee/ (MPXV) yanaendelea kuripotiwa hasa barani Afrika, ambapo mataifa kumi na moja yameripoti maambukizi ya ndani ya jamii katika kipindi cha wiki sita zilizopita. Hiyo kwa mujibu wa ripoti 51 ya Shrika la Umoja wa Mataifa la Afya Ulimwenguni, WH…
…
continue reading
Hii leo jaridani tunaangazia ugonjwa wa mpox, na walinda amabini wa Umoja wa Mataifa nchini DR Congo. Makala inamuulika siku siku ya kimataifa ya muziki wa Jazz namashinani tunasalia hapa makao maku kusikia ujumbe wa mwakilishi wa shirika la watu wa jamii za Asili.Maambukizi ya ugonjwa wa mpox kutokana na aina ya virusi vya monkeypox clade Ib /ˈmʌŋ…
…
continue reading

1
Walinda amani wa UN kutoka Bangladeshi na Indonesia wapewa medali nchini DRC
1:49
1:49
Play later
Play later
Lists
Like
Liked
1:49Huko Bunia, mji mkuu wa jimbo la Ituri, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, walinda amani kutoka Bangladesh na Indonesia, wanaohudumu kwenye ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini humo, MONUSCO wamepatiwa medali kwa mchango wao wa ulinzi wa raia, moja ya jukumu kubwa la ujumbe huo. Assumpta Masso amefuatilia hafla hiyo …
…
continue reading
Children in Gaza are going to bed starving, says UNRWATerrifying aftershocks continue to hamper Myanmar quake responseAfghanistan’s forced returnees need protection: UNHCRBy Daniel Johnson, UN News
…
continue reading
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka katika mkoa wa Mwanza kaskazini magharibi mwa Tanzania ambapo vijana wameshika hatamu kuboresha mustakabali wao. Pia tunakuletea muhtasari wa habari na mashinani tunasalia hapa makao makuu.Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa Kudumisha Amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, MONUSCO, umei…
…
continue reading
Gaza: Israel’s aid restrictions highlighted at world courtHealth workers linked to rising ‘medicalization’ of female genital mutilationCondemnation for strike on migrants’ detention centre in YemenBy Daniel Johnson, UN News
…
continue reading